WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jamani anayetaka kuja Tabora urambo,awe anatoka KILOSA,KILOMBERO,ULANGA,MVOMERO,MUFINDI,KILOLO,IRINGA VJJN,NJOMBE,LUDEWA,NYASA,WANGING'OMBE,MBARALI,RUNGWE,KYELA,MBOZI,MPWAPWA,CHAMWINO,CHALINZE,MKURANGA,KIBAHA,naomba tuwasiliane. 0688487920 IDARA YA SEKONDARI.
 
Mwalimu wa sekondari Manispaa ya Iringa anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka Dar anayependa kuhamia Iringa mjini-shule ipo ndani ya manispaa. Ni PM please kwa mazungumzo zaidi.
 
NJOO TABORA URAMBO MJINI NIJE DODOMA,MOROGORO, IRINGA,NJOMBE,MBEYA,RUKWA NA RUVUMA. idara ya sekondari. 0688487920
 
Mwalimu wa sekondari Manispaa ya Iringa anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka Dar anayependa kuhamia Iringa mjini-shule ipo ndani ya manispaa. Ni PM please kwa mazungumzo zaidi.

njo pwani
 
Wale wa mikoa ya MWANZA,SHINYANGA, KAGERA na KIGOMA walioko mkoa wa NJOMBE wilaya yoyote ili kuepuka gharama za nauli na kukaa mbali na nyumbani, sogea hapa shinyanga vijijin kutoka shule ilipo nauli kwenda mwanza town ni 4000, shy town 4000 na kahama town 7000. Shule ipo karibu na senta kubwa ya MHANGU. tuwasiliane, idara ni ya MSINGI. 0764205502 au 0788087771.
 
Wote wakija dar mikoani abaki nani ?
Mwalimu wa sekondari Manispaa ya Iringa anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka Dar anayependa kuhamia Iringa mjini-shule ipo ndani ya manispaa. Ni PM please kwa mazungumzo zaidi.
 
mwalimu anayetaka kuja kigoma kasulu mjini kutoka moro, tanga, mbeya, dodoma
tuwasiliane 0766574507
 
Nipo mkoa wa RUKWA wilaya ya KALAMBO.
Nahtaj kubadilishana na mwl yeyote aliye ktk wilaya ya KOROGWE, MUHEZA, TANGA, LUSHOTO, KIBAHA, BAGAMOYO, au KILIMANJARO.
Kwa mawasiliano tumia no. 0786838548 AU 0764142047. Idara msingi
 
Mwl. idara ya sekondari wa mkoa wa simiyu-itilima anahitaji mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anataka kwenda NJOMBE,IRINGA,MBEYA,MORO au kibaha.
 
Mwl GRACE yupo TABORA MANISPAA idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka SUMBAWANGA MANISPAA
Na: 0756231236
0782578408
 
Mwl idara ya SEC ktk HALIMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA. Anatafuta mwl kutoka MWANZA-NYAMAGANA au ILEMELA.
Na0756231236/
0752520817
 
Mwl RAMADHANI yupo RORYA anatafuta mwl mwenzeke wa kubadilishana nae kutoka TANGA,PWANI au MOROGORO.
Na0756231236/0686274596
 
WALIMU WENZANGU WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no 0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.
 
Mm mwl idara sec nko geita natafuta wa kubadirshana ktuo toka( njombe,morogoro,mbeya na iringa)
 
Kwa mwl anaya taka kuja wilaya geita toka njombe moro iringa ama mbeya tuwasiliane kwa 0762315784,0652031005
 
NJOOO NAMTUMBO KATA YA KITANDA MM NIJE RUNGWE TARIME MUSOMA (M) mwanza jiji Idara ya secondary tuwasiliane 0684 027 900 0762 382 482
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…