WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wa dodoma 'm',bahi,chamwino tubadilishane aje mwanza...idara ya msingi... 0766558570
 
Mie niko Morogoro idara secondary natafuta wa kubadilishana nae atoke Shinyanga wilaya yeyote au Urambo Tabora
 
Mie niko Morogoro idara secondary natafuta wa kubadilishana nae atoke Shinyanga wilaya yeyote au Urambo Tabora

mkuu jisogeze SINGIDA MJINI.. upunguze umbali na shytown
 
mwalimu idara ya SEKONDARI kutoka SINGIDA
MANISPAA/MJINI anatafuta mwalimu wa kubadilishana
nae
yeye aende MOROGORO MANISPAA..
plz PM me
**250,000 tshs ya kusafirishia mizigo
itatolewa..
 
mwl sekondari
njoo Newala Mtwara,nije Moro,Pwani,Dar
0766444050
 
Kuna ndugu yangu yupo mbulu idara ya sekondari anataka kubadilishana na Mwl kutoka kibaha' mkuranga' rufiji au bagamoyo mcheki kwenye no. 0719 221 051
 

kuna matapeli humu kwenye Jf
 
mwl.sekondari,
njoo Newala-Mtwara nije Moro,Pwani au Dar..
0766444050
 
Ndg zangu Idara ya msingi walio Njombe, Iringa na Ruvuma kuja wenyeji wa Kigoma, Geita, Kagera, Shy, Simiyu, Mara na Mwanza hamtaki kuja huku?
 
Mwanza _dodoma ,m, chamwino, bahi, kondoa.. tuwacliane ,idara ya mcngi... 0766558570
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…