WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo HALMASHAURI YA NJOMBE (W) Nije mbeya jiji,mbeya vijijini,vwawa,sumbawanga mjini,rungwe,kyela,chunya mjini,busokelo-idara sekondari no-0765432283 au 0765533013
 
Rafiki yangu ni mwl. sekondari wilayani Tarime. Anataka ahamie BUNDA. Kama uko tayari uni pm. Au piga 0767278100 (KEFA)
 
sasa tarime na bunda kuna tofauti gani we kaa huko huko!
 
Nina kijana wangu amepangiwa kazi LINDI MJINI ngazi ya Sekodari, anahitaji mtu wa kuabdirishana nae kuja dar maana tayali alikuwa ameanza shule, "Postgraduate" hapa Dar. Ahsante
 
NATAFUTA kutoka PWANI, AU TANGA mjini, aje Mwanza mjini wilaya ya NYAMAGANA, idara ya sec. cotacts: o716903045 au 0769436999 :high5::high5:
 
Njoo Ngorongoro nije Mbeya mjini,Ilemela,Nyamagana,Kahama,Geita,Nzega,Morogoro mjini piga simu 0762770455 au ni PM
 
Nipo tanga kilindi,idara s/msingi,nataka wa kubadilishana nae kutoka songea mjini.0752253329.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…