Mie ni mwalimu toka halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka huku nilipo ili niende Mkoani Mtwara....wilaya ya Masasi mjini.
Njoo Kinondoni, mie nije Mtwara-Masasi
anaetaka ani pm.
njoo karagwe mi nije serengeti
Njoo HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE,nije DODOMA wilaya yoyote, nicheki 0762686424
anaetaka kuja bunda
+255785914538
idara sec
Ningekuja sema id yako inanitisha
mmmhh! hadi humu umo?