Ramadhan vitalis
Senior Member
- Feb 10, 2014
- 134
- 4
Nipo busega ambayo ni magu ya zaman, je utapenda kuja
njo karatu twn la maraha.
karatu hapana kaka
Njo karatu twn la maraha.
Wapendwa mie ni mwl. idara msing natafuta mwl. wa kubadilishana nae toka mikoa ya mbeya, mtwara kuja LUDEWA kama unapenda na unaifahamu ludewa nipo luana p/s 0753884902
Njoo Tabora Mkoa Wa Jiran Na Mbeya Nije Ludewa?
Walimu walioko mkoa wa tanga ambao kwao ni tabora wani pm tuongee kuna ya msingi