WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

jamani mi ni mwl sekondari naomba anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane awe wa tabora wilaya yeyote.aksanteni.
 
Mwl idara msingi yupo MBINGA-RUVUMA anataka kuhamia eidha TANGA,MOROGORO,KILIMANJARO au PWANI POPOTE
Na 0756231236/0719184787
 
Walimu wenzangu msikate tamaa kutupia matangazo yenu humu JF na kuna wengine uwezo wa kuweka TANGAZO JF hana kwa wale wenye uwezo waliojiunga na JF tuwasaidie wenzetu kuwabandikia matangazo yao humu ndani mungu atawabariki sana.
NB: kwa ushauri eidha umepata mtu wa kubadilishana nae hujui utaratibu au muundo wa barua za kubadilishana au kuwekewa tangazo humu ndani tumia Na 0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa insha allah
 
Mwalimu sekondari liwale lindi kwa yeyote anayetaka kuja huku na anatokea knjaro;tanga;moro;arusha;pwani
 
Anayetaka kuja handeni idara ya sekondari tubadilishane naye kwa aliyeko wilaya zifuatazo
1.Bumbuli
2.Rombo
3.Lushoto
Aliyeko tayar ani PM hapa
 
Mwl. idara msing kutoka masasi mjini, lindi/mtwara vjjn na mtwara mjn aje NACHINGWEA ani pm
 
jamani mi ni mwl sekondari naomba anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane awe wa tabora wilaya yeyote.aksanteni.

Duh. Nataman sana hiyo opportunity ila cpo Tabora
 
nipo nyanshimo mjini idara ya sekondari,kutoka mwanza nauli elfu 5 nahitaji kubadilishana na mtu kutoka pwani kibaha,kisarawe au mkuranga.mawasiliano 0713007615 au 0768560009
 
Mwalimu kutoka shule ya Vikindu sekondari Mkuranga karibu na dar es salaam, anatafuta mwalimu wakubadilishana kituocha kazi kutoka mji wa Makambako - Njombe. sababu kumfuata mumewe. pm


mwambie aende nyanshimo mjini nauli elfu 5 toka mwanza.mawasiliano 0713007615
 
MWL IDARA YA SEKONDARI KUTOKA MTWARA MASASI NAITAJI MTU WAKUBADILISHANA NAE KUTOKA MIKOA YA MANYARA,SINGIDA,ARUSHA NA KILMANJARO.mawasiliano ni 0687182221
 
Nipo Magu mjini Elimu ya Msingi, jwa Mwl.kutoka Kibaha, Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro, au Dar..
0682 279435
 
Aje kilwa,,dogo aende makuranga,bagamoyo,Dar..idara ya sekondari.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…