WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

njoo masasi mji idara sek, kama upo mboz,mbaral, mbey wilay, jiji. 0783040506.
 
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,Mimi niko Handeni Tanga natakata nibadilishana na wa Dar es Salaam au Bagamoyo.Aliye tayari ani PM
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0682930078
 
Nipo Ludewa idara ya sekondali anayetaka tubadilishane tuwasiliane.
 
nipo Kasulu idara sec wa tabora mjin, singida,kahama na dodoma wanitafute tubadilishane
 
Niko kibondo anaetaka kuja ambaye yuko Moro,pwani,dom na tanga please tuwacliane Niko idara ya secondary.
 
Nipo Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM.
 
Mwl idara ya msingi, nipo wilaya ya HANDENI natafuta mwl wa kubadilishana nae wilaya ya hai au moshi mjini. kama upo ni PM
 
naitwa mwl frank jonas niko wilaya ya kwimba mwanza natafuta qa kubadilishana nae kutoka moro. au pwani # idara ya msingi# nitafute kwa frankjons88@ gmail.com au 0753237373
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…