WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Matai mbona panafaa sana
Kama hutajari njoo tabora mjini mi nije matai coz mi matai ndo nyumbani
 
anaetaka kuja mwanza magu idara ya sekondari mimi niende mbeya wilaya yoyote ile tuwasiliane
 
Njoo Mbulu Manyara kama uko Dodoma mjini au Iringa mjini,idara sec (tuma sms 0655630868)
 
Mimi ni Mwalimu manispaa ya Kigoma natafuta wa kubadilishana nae iwe Morogoro ama Kibaha! anaetaka anipm
 
Idara sekondari wa dodoma na morogoro njoo singida mjini..niPM
 
Ukipangiwa Kigoma jipange kwa maombi kupata mtu wa kubadilishana nae ni NEEMA YA MUNGU
 
Kuna mwl wa S/M wa kilwa,,anatafuta wa kubadilishana nae toka wilaya ya Masasi..Aliyetayari anipe taarifa
 

wambie wajue ndugu.
 
niko ngorongoro nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka sehemu zifuatazo arusha mjini,arumeru,monduli,karatu au moshi mjini so kama kuna mtu anataka kuja huku anipigie kupitia no.0752016521 tufanye mchakato
......Kuna mwalimu nadhan yuko Siha au Rombo,alikuwaga anatafuta mtu wa Ngorongoro idara Sec,,,so chek number 162 nakuendelea utaona post yake kama sijakosea.
 
Nipo (SINGIDA-MKALAMA) nataka kuja (DAR au PWANI), anayetaka tubadilishane anitafute kwenye 0689128658
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…