WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi


daaah nilikuwa nna mpango wa kuhama mtwara town kwenda moro ila kwa maneno yako strong nimeacha..
 
Anaeyaka kuja mwanga mi niende bagamoyo,kibaha,mkuranga,kibaha au dar idara ya sekondari
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji naomba ani PM tuweze kuwasiliana.
 
Anaetaka kuja Kigoma-Uvinza Idara ya msingi toka mikoa ya Geita/Manyara/Mwanza/Iringa na Morogoro nicheki tufanye mambo! Karibuni Kigoma
 
Mwl MCHILO yupo SHINYANGA(v) idara msingi ANATAKA kuhamia eidha NJOMBE,IRINGA AU MOROGORO.
Na 0768507306/0788963826.
 
Njoo MASASI MJINI Nije MOROGORO MANISPAA au KILOSA au MVOMERO.Niko Sekondari,Ni PM.
 
Kwa yeyote ambaye anahtaj tubadilishane kituo cha kaz kutoka mwakaleli sc mi nije iringa au njombe nichek apa 0767565232
 
Mwl MDOE YUPO LINDI IDARA (msingi) ANATAFUTA MWL MWENZAKE WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA EIDHA TANGA AU MOROGORO POPOTE.
Na 0759182261 au
0682518941 unaweza kuacha ujumbe wa maandishi pia(sms)
 
Mwl wa Sekondari Masasi Mjini anatafuta mwl mwenzie wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka Dar.Ni PM nimpe taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…