WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwal yupo tarime mara idara sec anataka mtu wa kubadilishana nae anaetoka mikoa ya iringa, mbeya,njombe, morogoro,rukwa wilaya yoyote ile contact 0754390880 au 0719184733
 
Njoo MWANGA Kilimanjaro nije Bagamoyo,Kibaha,Mkuranga au Dar wilaya yoyote.Nipo idara ya sekondari.
 
Njoo Arusha mjini!!!nije Manyara hasa karatu/mbulu!!!!Ukipenda andaa tsh Milion 1 kwa ajili ya kuhamisha vifaa/mizigo yangu!!!Niko sec!!!!Naenda huko kwa shughuli zangu zingine .
Mwenye utayari pm!!!
Km uko kijijini sana utanisamehe unless ukipandisha dau tutavumiliana .
 
Za asbh wapendwa,nnandg yangu yupo singida vijijini anatafuta mtu wa kubadilishana nae wa wilaya yoyote ya kilimanjaro au arusha.Yupo shule ya msingi.
 
ndugu yangu yupo kishapu shinyanga s/m anataka kurudi wilaya yoyote mkoa wa tanga au kilimanjaro no 0687829764
 
Pole na majukumu, mimi ni mwalimu ktk manispaa ya dodoma mjini, natafuta mtu wa kubadilisha naye aende dodoma nije ,mbeya mjini, aliye tayari tuwasiliane then ntampa contact zangu asante
 
e:hallo mi nipo dar temeke mwalimu wa secondary nahitaji kwenda Arusha mjini anaye taka kuja dar tuwasiliane kupitia 0755210163
 
Pole na majukumu, mimi ni mwalimu ktk manispaa ya dodoma mjini,natafuta mtu wa kubadilisha naye aende dodoma nije ,mbeya mjini, aliye tayari tuwasiliane then ntampa contact zangu asante

kumbe kituo cha kazi,nilidhani kazi
 
Aisee nimekuja mbio nikwambie tubadilishane wewe uje kuuza mchicha mi nije ofisini kwako.....kumbe unamaanisha kituo
 
njoo dar basi mi nahitaji kuja arusha nipo dar au nitafutie anaye penda kuja dar namba zangu 0755210163:couch2:
 
Pole na majukumu, mimi ni mwalimu ktk manispaa ya dodoma mjini,natafuta mtu wa kubadilisha naye aende dodoma nije ,mbeya mjini, aliye tayari tuwasiliane then ntampa contact zangu asante

Hivi ktk kubadilishana haijalishi huyu wa msingi yule wa sekondari Mwl!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…