WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni Mwl. wa primary Urambo Mjini nina miaka 4 kazini nanina TSD no.
Aliyeko Morogoro Aje Urambo, Contact : 0754821240
 
Njoo Singida (Manyoni) nije dsm wilaya yyte au Mkuranga. Idara sec.
 
Nipo Tabora idara ya sekondari nataka kuhamia Rungwe manispaa.
Tuwasiliane kwa 0769058488
 
Mwl jupo lindi idara ya msingi anataka kuja wilaya ya handeni tangs aliyetayar anistue 0785443629
 
mimi nipo mtwara mwl shule ya msingi nataka mtu wa kuja mtwara yeye atoke kagera au mwanza mikoa hiyo

no ya simu 0786279760 au 0659138224
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana.

Mimi ni mwalimu idara ya sekondari newala mkoa wa mtwara, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje newala nami niende, kati ya arusha, kilimanjaro, manyara, au dar.

Kwa ambae atakaekuwa tayari tuwasiliane kwa namba hii: 0779 835 260.
Pia ukiona tangazo hili nitashukuru ukimjulisha na mwingine.

Mungu akubariki sana!
 
Mi ni mwl wa shule ya msingi mtanga iliyopo kilwa mkoani lindi, naomba kubadilishana vituo vya kazi na mwl yeyote toka mkoa wa dsm. Aliye tayari kubadilishana tuwasiliane ktk 0714-408238/ 0759-401230. Ntatoa gharama kidogo ya nauli kwa aliye tayari.
 
kutoka kilimanjaro wilaya yoyote njoo wilaya ya Handeni nije wilaya uliyopo, idara ni msingi mawasiliano ni 0765645421
 
Idara ya sekondari, Walimu kutoka Kyela kwenda Bagamoyo tuwasiliane 0715744549 au private message utanipata. Tafadhali usipuuze nataka kurudi nyumbani kwa Mwakyembe jamani nikajijenge
 
anayependa kufanya kaz wilaya ya Kasulu idara ya sec kutoka mwanza geita,babati,tanga au dodoma ni PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…