WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ewe mwalimu njoo mtwara nije Moro iringa njombe MBEYA idara mcng 0768948179 0689976850
 
Njoo Magu Mjini, nije Kibaha,Mkuranga, Bagamoyo, Rufiji, Kisarawe au Morogoro Idara ya msingi.0682 279435
 
Njoo Moshi v hapa marangu idara ya sec nije mwanza ilemela ,yamagana au misungwi
 
nipo manispaa ya mtwara idara sekondari nipo tayari kuhamia morogoro ama mkoa wa pwani
0713-457989
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Yupo MBEYA-MBOZI,anataka kwenda NYAMAGANA,ILEMELA,SENGEREMA au MORO MANISPAA.Idara SEC.
0767969292.
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM tuanze michakato.
 
njoo njombe town nije singida town idara ya sekondari
 
mimi ni mwalimu aliye bukoba vijijini karibu na manispaa- kuna maji,umeme na huduma zote muhimu nahitaji kubadilishana na mtu aliyeko:

1)mwanza-wilaya yyte ila sio ukerewe

2)Tabora-manspaa

3)morogoro-manispaa
 
mimi ni mwalimu aliye bukoba vijijini karibu na manispaa- kuna maji,umeme na huduma zote muhimu nahitaji kubadilishana na mtu aliyeko:

1)mwanza-wilaya yyte ila sio ukerewe

2)Tabora-manspaa

3)morogoro-manispaa
4)singida-manispaa
0769027920
 
mimi ni mwalimu aliye bukoba vijijini karibu na manispaa- kuna maji,umeme na huduma zote muhimu nahitaji kubadilishana na mtu aliyeko:

1)mwanza-wilaya yyte ila sio ukerewe

2)Tabora-manspaa

3)morogoro-manispaa
4)singida-manispaa
0769027920

Upon idara ipi
 
Njoo singida iramba-kiomboi nije mbarali mbeya au njombe mjini 0762078708
 

mi nipo bukoba vijijini,umeme na maji vipo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…