WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
anayetaka wilaya mpya buhigwe kigoma idara ya sec.muharulo mim nije moshi,arusha,manyara au tanga 0764616353
 
Nina ndugu yangu mwl sekondari yupo mtwara masasi anatafuta mtu wa kubadilishana naye toka kaskazin wilaya yoyote kilimanjaro, arusha, manyara au tanga. Aliye tayari ani PM
 
Njoo wilaya ya Mbinga Ruvuma nije Manispaa ya Singida 0765070911
 
Nipo mtwara idara msingi Anayetaka kuja kutoka Iringa, Mbeya ,Rukwa yote, Njombe na Morogoro 0768948179 0689976850
 

nipo lushoto-tanga-idara ya sekondari, njoo-huku nije iringa(kamwene)
 
Kuna best yangu mwl. msingi yupo LUSHOTO TANGA, anataka kwenda masasi mji kama yupo mtu anayetaka LUSHOTO MJI aniPM
 
Mwl njoo maswa idara sec. nije mwanza, Dsm, Dodoma, iringa mbeya, njombe na morogoro npm tafadhari.
 
Mdogo wangu yupo mtwara s/m jangwani anatafuta mtu kutoka mbeya au swanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…