WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nipo kondoa dodoma idara ya secondary,,,nataka kwenda dodoma mjini.........aliyetayari ani text 0683608504
 
Mwalimu SEKONDARI.Nipo MANISPAA ya ,MTWARA mikindani natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka Kibaha,Bagamoyo,Dar es salam ama MANISPAA ya MOROGORO
Mawasiliano 0713-457989
 
Njoo nyasa niende iringa, moro na mbeya tuwasiliane kwa 0753925510 au 0783345936.
 
Njoo Mtwara nije MBEYA Iringa morogoro Njombe idara msingi 0768948179 0689976850
 
Jamani wakazi wa moshi toka mwanza tubadilishane nije MWANZA UJE MOSHI idara ya sec
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati,manyon,bahi,korogwe,handen na same
 
Anayetaka kuja maswa idara sec. toka dsm, mby, iringa, mk, dom. moro, mwz, njb, singida anipm tafadhari
 
natafuta mtu wa kubadilishana nae mm nipo mahenge ulanga morogoro nataka nihamie dar au pwani kibaha au wilaya ya bagamoyo 0752623335
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…