WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

alie Mbeya jiji ama vijijini, rungwe, kyela, momba ama mbozi, pia njombe iringa ni pm idara ya sekondari uje shinyanga 0757555715
 
Kwa mwalim aliyeko kibaha na bagamoyo mkoani pwani idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0764114016
 
Kama kuna mwalimu yeyote wa shule ya msingi aliyepo Arusha na anataka kwenda/kuhamia Mbulu anicheki kwa namba hizi hapa 0768811284
 
yeyote anayehitaji kuja tanga- lushoto idara msingi nije masasi au newala - mtwara au mtwara mjini ani PM au tuwasiliane kwa 0688264401/ 0714994228/0759804947
 
MEMBERS WENZANGU mlio jiunga na JF na mnauwezo wa kupoct matangazo humu basi TUWASAIDIE walimu wenzetu ambao hawawezi kupost matangazo yao bila KINYONGO mtu akikutafuta umuwekee TANGAZO mpe maelekezo kwa ustaarabu japo kuwa wengine hawana hekma lkn 2wavumilie na tuwasaidie ivo ivo
0756231236/0719184787 tumia na hii usaidiwe eidha kwa kuwekewa tangazo au umepata wa kubadilishana nae na hujui ufanye nini.
 
Karibu kasulu idara ya sekondari mimi nije dodoma,mwanza,dar-es-salaam,pwani,morogoro,arusha,tanga na kilimanjaro.
 
Nipo Halmashauri ya Kasulu idara ya Sekondari, natafuta Mwl. wakubadilishana naye awe kati ya sehemu zifuatazo Arusha Mjini, Kilimanjaro mjini, Tanga mjini, Morogoro Mjini, Bagamoyo, kibaha, Ilala, Temeke, kinondoni, Mtwara mjini na Iringa mjini..!
Tuwasiliane kupitia 0753980046 au 0715980046.
Email: dchayoa@yahoo.com au dchayoa2@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…