WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mi niko Singida Halmashauri. Idara sek. Nahitaji kuhamia wilaya zifuatazo.
1.Magu.
2.Busega.
3.Nyamagana,Ilemela au
4.Tarime tu★.
Sio zaidi.
Tumia 0757966585.
Muda unayoyoma,fanya haraka.
★~zingatia.
 
Kwa yeyote anaetaka kuja mkoa Wa Rukwa wilaya ya Kalambo kutokea Moro, Tanga, Kilimanjaro ama Arusha tuwasiliane hapa.....0764142047
 
Anayetaka LINDI VIJIJINI aje idara ya msingi kutoka pwani,DSM,tanga!N.B private message…
 

na we unaweka tangazo bure au kwa hela??
 
tena hao matapeli anakwambia bas mimi sec au msingi ili 2 mpishane kisha anakwambia ngoja kunajamaa hapa nakuunganisha nae na mimi bas ntafutie.
Yaani usipokuwa makin utamuingiza mwezio kwa matapeli bila kujua.

Ni shida kweli yan namba yenyewe ni hii hapa 0716111942 anaitwa NSIA URON ya hao jamaa OGOPA SANA.
 
jaman nipo nzega kuna umeme,maj, na huduma nyingine nahitaj kubadilishana na mwalimu kutoka kibaha,iringa mjin au vijjn,mufindi, morogoro, chalinze,mkuranga, kilolo idara secondary
 
Salamu wana JF ,
Ninaomba msaada wa kujua utaratibu wa kufata unapotaka kuomba ajira ya ualimu wa sekondari serikalini kwa mwenye shahada ya kwaanza ambaye yuko kwenye mfumo wa taasisi binafsi, mlengwa ni muhitimu wa wa shahada ya elimu mwaka 2012 , hasa ukizingatia kuwa nafasi za ajira ya ualimu wa sekondari hazitangazwi kwenye vyombo vya habari. Ninatamani sana kujiunga na ajira ya ualimu wa sekondari katika serikali ila sijajua namna ya kufanya . Ikumbukwe kuwa ajira za ualimu 2014/2015 bado hazijatangazwa mpaka sasa na serikali , hivyo nadhani inaweza kuwa nafasi mwafaka kwangu kupata nafasi hii adimu ili niweze kulitumikia taifa langu.

Kwa yeyote Mwenye kujua nini cha kufanya au utaratibu upi wa kufuatwa , au kuniunganisha na wahusika muhimu wataonisaidia , tafadhali tuwasiliane hapa jukwaani, na pia kwa maelezo zaid naomba uni PM au e-mail:franciserickk@gmail.com .

Asanteni kwa mawazo yenu na ushauri mtaonipa.
N.B:Matumizi ya lugha ya staha ni muhimu .
 
Anayetaka kuhamia Meatu kutoka sengerema, misungwi, geita, shunyanga, kahama, nzega, singida, dodoma, tuwasiliane 0765038511
 
Anayetaka kuhamia Meatu kutoka sengerema, misungwi, geita, shunyanga, kahama, nzega, singida, dodoma, tuwasiliane 0765038511 (mwalimu idara ya sekondari)
 
Nataka wa kubadilishana nae yeye aje Kagera mimi niende Korogwe,Handeni,Rufiji,Kilosa,Mvomero,Kilombero aliyetayari tubadilishane.
 
Mi niko singida nahtag kurud nyumbani magu,simiyu,au jiran.
ntaft 0757966585.

ndugu kama haujapata tuwasiliane mi niko MEATU ENEO ZURI NA UKIGAMIA UKU WANA UTARATIBU WA KUKUPANGIA PALEPALE NITAKAPOTOKA, ILA SIJAJUA WEWE IDARA GAMI MAANA MM NI SECONDARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…