GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 274
Me natafuta wa kuja kigoma kasulu mjini mimi naenda kokote nje ya mkoa wa kigoma contact 0759167916
njoo liwale karibu na kilwa. 0762426746
una sh ngapi mi nikufanyie mchakato january utoke huko burundi?
nipo busokelo mbeya nataka wa kubadilishana nije iringa mjn au njombe kwa aliyetayar an pm
ntafutie wa idara ya sekondari aje kilwa..lindi..kupo vizuri
hivi ndivyo nchi ilivyo oza kwa rushwa halafu tunasema uongozi mzuri? Rushwa zinatangazwa mtandaoni kama basi linalopigiwa debe abiria wapande
Habari zenu walimu
Ninamatumaini ni wazima na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu za kazi popote mlipo.nawatakia kazi njema nashughuli njema.
Kuna jambo nataka kuwashauri,mwanzoni kabisa wa hii page kuna maelezo ya kina na mwandishi ametadharisha kuhusiana na kutoa namba na akasema ukiweka namba itakuwa at your own risk,nilimwelewa lakin tafsiri yangu ilikuwa tofauti ila kwa ss nimemuelewa zaidi na nataka kuwashauri kwani mm nimestuka mapema .inawezekana wenzangu bado.
Kuna watu wanachukua namba hapo kisha anakutumia sms.
Mfano:
"Habari yako mzima mm nilifanikiwa kuhama na kwa ss nipo tumbi.asanthe".
Hiyo sms ni ya mtego,akijua kabisa utamtafuta kumuuliza alifanikiwa vipi kuhama.na nikweli ndivyo inavyokuwa,ukishampigia atakupa maelezo na kukwambia kuwa kuna mtu alimsaidia.na kwa kumuamini utamwambia mwambie jamaa nae akusaidie.kumbe ndo unaliea bila kujua.
Huu ni mtandao,atakupa namba ya mtu mwingine na mtaanza kufanya mchakato atakuambia kuna gharama kiasi fulani.na kwa kuwa yule mtu wa kwanza alikuhakikishia bhasi utajikuta umetuma pesa na matokeo yake utakuwa umetapeliwaaa.
Kuweni makini na hili.kwanza jiulize ukiona hyo sms
Je aliyekutumia unamfahamu
Je kama hakufahamu namba yako alipata wapi
Na je kama humfahamu amekutumia hyo sms kwa maana gani?.
Kuna watu wanataka kunufaika kupitia shida zetu tuwe makini na tusikurupukeee.
Nawatakia jioni njemaaa
acha uongo wewe....wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka tamisemi ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.kama uko tayari coment hapa ''ni pm'' na mimi nitaku pm.asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
elimu______secondary/ njoo ikwiriri rufiji/pwania karibu sana na dar es salaam nauli elfu tano/nne kama upo kahama mji/ shinyanga manispaa tufanye kubadilishana....0757632037.
wewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka tamisemi ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.kama uko tayari coment hapa ''ni pm'' na mimi nitaku pm.asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
Tunaendelea kuwatahadharisha ndugu zetu mnao weka namba kwa nia njema tu, kuwa wapo maharamia (matapeli) wanao taka kutumia shida yako kujinufaisha.
Ushahidi: niliwahi soma comment hapa jf kuwa yupo jamaa namba yake inaishia 35 anakupigia simu anajifanya yupo tamisemi, kiukweli binafsi alinipigia simu nilimpa makavu alichokifanya alizima simu.
kuwen makini na huyu msokota bangi sio mtu mzur