Mimi nipo idara ya msingi na mawasiliano yangu ni haya hapa 0787929878 AU 0762206989
Karatu /arusha vp ndugu
Jamani wala wanaotaka kuhamia KUSINI tubadilishane na mtu yeyote kutoka KILIMANJARO,ARUSHA,MANYARA AU TANGA tuasiliane kwa no 0789585414
Njoo kilwa-lindi
Msaada tafadhali wana jamii wenzangu. Idara ya sec. anayeweza kunisaidia jinsi ya kuandika barua kwenda tamisemi ddm na pamoja na box la tamisemi. Kuna mtu wa tamisemi amenambia niandke nimplekee.
wewe ni tapeli uamisho wa namna hiyo haupoWewe mwalimu unayetaka kuhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa hilo suala linawezekana pasipo kupata mtu wa kubadilishana ila uwe na kiti cha kuongelea nakufanyia michakato na utapata barua ya moja kwa moja toka TAMISEMI ikikuruhusu kuhamia kule unakokutaka ila kwa kujigharamia kuhama.Kama uko tayari coment hapa ''ni PM'' na mimi nitaku PM.Asiyeniamini aache anayeniamini haina shida.
nafanyia kazi wenye uelewa tu maana walimu wengi ni mazezeta hawajitambui,na hii ndo kada ya wajinga kuliko kada zote nchini.
Wewe acha ujinga mjinga ni wewe tulie kutoa ujinga kipindi ulipokuwa mjinga
Tishakustukia wewe ni tapeli.
Kuna mwl wa S/M wa kilwa,,anatafuta wa kubadilishana nae toka wilaya ya Masasi..Aliyetayari anipe taarifa
Ww ni idara gan? Na huko mbea vjjn ni wilaya gani?
nafanyia kazi wenye uelewa tu maana walimu wengi ni mazezeta hawajitambui,na hii ndo kada ya wajinga kuliko kada zote nchini.