WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo mbulu manyara mm nije morogoro manispaa (idara secondari) ! nipazuri kabsa maji umeme nk. mawasiliano: 0784127593
 
Njoo mbulu mm nije MOROGORO manispaa, (idara secondar) ni pazuri sana mawasiliano: 0784127593
 
Njoo mbulu manyara mm nije morogoro manispaa idara secondari, mawasiliano 0784127593
 
Mwlm njoo NJOMBE MJI mm nije RUNGWE idara ya msingi: 0715598343,0764623738
 
Njoo NJOMBE MJI mm nije RUNGWE (idara ya msingi) 0764623738, au 0715598343
 
Naitwa ENDESH,
Natafuta mtu wa kubadilishana nae kitu.
Nipo wilaya ya MKINGA.
Nataka kuhamia wilaya yeyote ya Arusha
Namba 0654118611
 
Njoo lushoto nije korogwe au tanga mji. Idara elimu sekondari. 0765582366/ 0683436242
 
Kwa anaetaka kuja kilimanjaro wilaya ya hai kutoka dar temeke au ilala tuwacliane ni PM
 
Anayetaka kuja MASASI mimi niende kanda ya KASKAZINI(kilimanjaro,tanga,arusha,manyara) aliyetayari an PM.
IDARA-SEKONDARI
 
Kuna mwalimu kutoka sengerema msingi anataka kwenda pwani,moro,dar na kilimanjaro 0766097972
 
mimi niko babati vijijini natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mogogoro yeye aje babati mi niende moro kaka yupo anichek kwa namba 0757477171 idara secondary
 
Nipo Kilindi mamtafuta mtu anaetoka Bagamoyo tubadilishane,natoka idara ya Sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…