WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Maswa idra sec. ukitokea
Mbeya Iringa Njombe Morogoro Dodoma Mkuranga Dsm Tanga Arusha kwa mhitaji npm nafasi ni moja tu ukikosa tusilaumiane jamani!
nawapenda wote.
 
Nipo Ulowa Sec katika Wilaya ya Ushetu, nataka kwenda DSm au Pwani
 
Anayetaka morogoro manispaa jamani aje nami niende temeke , mwl secondary
 
Muhimu sana kwa watu wa RUVUMA. Unapenda kuhamia Namtumbo? Nipm niende Mbinga-sekondari.
 
MWALIMU IDARA #MSINGI YUPO #SIMIYU-ITILIMA ANATAFUTA MWL MWENZAKE WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA EIDHA DAR,MOROGORO,KILIMANJARO,PWANI,BAGAMOYO au TANGA POPOTE.
No: 0753918568 au
0688779093 au
0753918569 au
0687503230
 
Njoo kilwa-lindi...Idara ya sekondari..dogo aje mkuranga,bagamoyo,Dar au Moro
 
Nipo Geita wilaya ya chato.....natafuta mwalimu wa kubafilishana nae..kutoka morogoro manispal...idara ni sekondari. Tuwasiliane kwa namba zifuatazo....


0762-336555
0789-336555
0715-936555.

Tujulishane tuone tunafanyaje pia.
 
Jaman kwa aneihitaj kuja kilimanjaro wilaya ya hai karibu sana kutoka dar temeke au ilala ni PM tafadhal
 
Mimi mwalim wa arusha jiji nataka kuhamia kibaha mawasilino 0762460460
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…