WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo wilaya ya Kyerwa Kagera, mim nije halmashauri yeyote ya Mkoa wa Mwanza idara ya sekondari..0713220383/0783268043
 
Wapendwa nipo simanjiro manyara idara sekondr anahitaj kutoka tanga kilanjro,moro,pwani anitafute kwa PM
 
Naitwa Amina, Mwalimu wa Shule ya Sekondari mjini kyela-Mbeya.

Natafuta Mwalimu Mwenzangu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka Kyela Kwenda Dodoma Mjini.

Kwa mawasiliano zaidi:
+255 756013455
email:- twahaamina@yahoo.com

Ntaftie mwl wa kuja rukwa kalambo
 
njoo kizaga sekondary ilyopo kiomboi iramba,shule ipo barabaran UMEME UPO MPAKA SHULENI 0762078708(tapel usijaribu)
 
Mwl msingi na sekondari njoo rukwa kalambo nije mbeyavijijin,mbeya mjin,momba na mbozi 0762186070
 
Aliyepo nyanda za juu kusini au kanda ya kat au Pwani ya Mashariki.
Kada Sekondari anayeweza kwenda Ngara- Kagera anipm..
Yupo Dada yangu anahitaji kubadili kituo kutoka Ngara kuja katiua mikoa ya nyanda za juu, kati au Pwani
 
Hivi hakuna anaetaka kuja Mara-Serengeti;tuhamie either Dar;Mwanza au Morogoro;-Idara ya Sekondari;contact:0787-350747
 
Njoo MAGU MWANZA msingi kama uko morogoro, kibaha, mkuranga, bagamoyo au kisarawe 0682279435
 
Njoo NEWALA-MTWARA idara ya sekondari mimi nije MKOA WA TANGA wilaya yoyote
kwa mawasiliano nitafute 0783677207,0767665619 au 0717765619
 
Njoo BABATI Idara ya Secondary NIJE RUNGWE... au MBEYA JIJI' / KYELA nitafute kwa no. 0762045956 or 0787466649
 
Njoo Tunduru Ruvuma aje Dadoma, Morogoro au kwngineko!
Idara secondari!
Mhusika yuko mjin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…