WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara ya sec nipo bariadi mkoani Simiyu
Karibu huku nije Arusha Moshi kijana au mkuranga
 
Watu WA Manyoni SINGIDA hamupataki kwenu?
Njooni Manyoni idala ya Secondary Mimi niende eidha MWANZA wilaya yoyote, Geita wilaya yoyote, Shinyanga manispaa, Musoma manispaa, kigoma manispaa, Bukoba manispaa, au Lushoto
 
HV hakuna atakae mkoa wa simiyu? meatu,maswa,itilima,bariadi,busega? simiyu MNA hasara..LOL
 
Nataka mwalimu wa kubadilishana toka mwanza wilaya ya ilemela aje dar wilaya ya temeke,tuwasiliane kwa 0768905871
 
mimi ni mwalimu ninafanya kazi mkoa wa tanga halmashauri ya kilindi ninatafata mwalimu wa kubadilishana nae kutoka halmashauri ya mtwara mjini
 
Nataka mwalimu wa kubadilishana kutoka mwanza-ilemela Aje dar-temeke idara ya shule ya msingi .mawasiliano ni 0768905871
 
Nipo dodoma manispaa natafuta mwalimu kutoka morogoro manispaa idara ya sekondari
pm please!!!!!
 
Mimi ni Mwl wa idara ya secondary muheza nataka kuhamia temeke kumfuata mke ambae ni nurse pale tmk hospitali ni mwaka wa tatu sasa naishi mbali nae suala LA MTU was kubadilishana limekuwa kikwazo kikubwa mno,nisaidieni wadau 0764711735
 
njoo tanga,korogwe nije mbeya mji,kyela,mbozi,tunduma idara secondari 0717500519
 
Njoo tanga korogwe nije mbeya-jiji,mbozi,kyela,mbeya v, momba idara sec 0717500519
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…