zawadi mkelehe
Member
- Aug 12, 2014
- 29
- 1
Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar...
Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:-
TANGA mjini
MUHEZA mjini
KOROGWE mjini
PANGANI mjini
DODOMA mjini
MOROGORO mjini
MWANZA mjini
Natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kituo cha kazi npo wilaya ya mufindi mi niende songea au mbeya ....
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Sijahama kaka na kuna uwezekano wa kustahafia Pwani kwa dalili ninavoiona..duuh mkuu bado hauja fanikisha tu kuhama huko?
Piga 0714010511 nirudi kwetu Mufindi...idara secondary
Upo shule gani Al Mkubwa? Pia ni bukoba mjini au vijijini?
Sijahama kaka na kuna uwezekano wa kustahafia Pwani kwa dalili ninavoiona..
Mke wa jamaa yangu anahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kituo, yeye yuko Makambako anahitaji kusogea kwa mumewe Songea. Ni mwalimu wa shule ya msingi.