WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

njoo MUSOMA
nije wilaya yeyote ile
ktk mikoa ya PWANI DAR MOROGORO DODOMA TANGA
 
Wadau mimi ni mwalimu wa sekondari KWIMBA- MWANZA naomba mwalimu wa kubadilishana niende SAME au MWANGA nina sababu za kifamilia
 
njoo mwanza sengerema nije morogoro pwan tanga dar na dodoma mawasiliano ni 0766 097972 idara msingi
 

ni kweli kabisa. yashanitokea
 
ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara (m) aje tanga halmashauri ya wilaya kilindi
 
Mwalimu anaetaka kuja NEWALA mtwara idara msingi tuwasiliane ila awe anatoka Morogoro,Iringa,Njombe,Mbeya na Rukwa katika wilaya yoyote kwa mikoa hiyo 0689976850 au 0768948179
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…