WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka kwenda TABORA- SIKONGE
Tubadilishana na Dodoma, Tanga., Njombe au mkoa wowote wa pwani... secondary
0715 889 333
 
Mwalimu wa Kigoma idara ya msingi anatafuta mtu wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:-
1.Sengerema
2.Ukerewe
3.Bunda
4.Misungwi
5.Chato
6.Geita-wilaya zake
Kama uko tayari mcheki no 0718347136
Kaka waha hawataki kurudi kwao kabisa! Unajisumbua bure
 
mwalimu wa shule ya MSINGI aliyeko halmashauri ya wilaya ya BUSOKELO-TUKUYU na anataka kuhamia wilaya ya MBINGA, tuwasiliane kwa 0757021255
 
mwl yeyote ambaye yupo mikoa ya mbeya,ruvuma,iringa au njombe njoo kaliua-tabora(idara ya secondary)
0713149222
 
Anaetaka kwenda TABORA -sikonge tubadilshane na mkoa wowote secondary
tuwasiliane 0715 889 333
 
NAITWA MUHARAMI SAIDI WA NYAKABUNGO SECONDARY MWANZA JIJI NYAMAGANA,KWA ANAEHITAJI KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI ALIYE DAR ES SALAAM JIJI AU HALMASHAURI YA MJI KIBAHA NIKO TAYARI MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0716264618 au 0756021311
 
kwema viongoz? kwa walmu wa Mwanza maeneo ya nyamagana,ilemela,misungwi au sengerema.kama unapenda kufanyia kaz shy, bas wah mapemaaaaaaa mida ndo hi, idara ya msng, 0764316626
 
Njoo MAGU MWANZA elimu ya msingi kama uko Bagamoyo,Morogoro, Kibaha au Mkuranga. 0682279435
 
Niko Bukoba,naitaji kwenda mikoa ya shinyanga,tabora na singida...anayeitaji ani pm au anibip 0769027920
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…