WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara ya sekondari songea municipal natafuta mtu wa kubadilishana kutoka moshi municipal
 
Wakuu naombeni kuunganishwa kwenye grp ya whassap ya wale waotafuta wa kubadilisha vituo, please naomba sn. Niko moro manispaa nataka kwenda temeke au ilala namba yangu 0763034175
 
mwalimu idara secondary wilaya karagwe natafuta wa kubadilishana naye ili nihamie wilaya zifutazo :nyamagana, ilemela,au misungwi.mawasiliano 0752005428
 
Kuna group lawalimu limeazishwa tuma sms kwenye namba 0763 240 278 alaf nkueke huenda ukapata mwl wakubadilishana nae huko!
 
njoo pwan__kibiti nije mwanza, dom, manyara au moro. idara ya sec. nichek 0782381466
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…