WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo NEWALA-Mtwara idara ya sekondari mimi nije mojawapo ya wilaya zifuatazo ktk MKOA WA TANGA;Tanga jiji,Muheza,Lushoto,Handeni,Korogwe,Mkinga na Kilindi.NIPIGIE AU NITUMIE SMS katika namba zifuatazo 0783677207,0767665619 na 0717765619.
 
Njoo kasulu mjini idara ya sec nije manjara ,arusha,kilimanjaro au tanga
 
Idara secondary natafuta mwl wa kubadilishananae toka dar manispaa yyte, kibaha au Mkuranga yeye aje Handeni Tanga kama upo tayar nicheck kwa 0786 475050 au 0715 475050
 
njoo simanjiro manyara, au muheza tanga tuje morogoro au kibaha. idara ya sekondari. 0758132144
 
Madam Scolastica. Idara sec. Natafuta MWL wa kibadilishananae toka mkoa wa pwani (Kibaha) yeye aje Korogwe mji (Tanga) atakaekua tayar tuwasiliane kwa 0759386826
 
Niko bukoba,idara sekondari nataka mikoa ya tabora,shinyanga au singida 0769027920
 
Je? Kuna mtu wa Tarime kutoka Hanang' anataka kurudi nyumbani sec. call me at 0752490349
 
ninatafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje kilindi tanga mi niende mtwara (m) kama unahitaji hilo nitafute kupitia namba 0786043373
 
Njoo Handeni Tanga nije kat ya meoneo yafuatayo.
DAR MANISPAA YOYOTE
MKURANGA
KIBAHA
KISARAWE
Idara secondary
Tuwasiliane kwa
0786 475050
0715 475050
 
njoo MUSOMA(butiama)
nije PWANI
TANGA
MOROGORO
DODOMA
ARUSHA
idara ya msingi
# 0785 077035
# 0753 629314
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae
Nipo mwanza jiji nyamagana;nahitaji dar es salaam jiji au halmashauri ya mji wa kibaha;idara elimu sekondari
mawasiliano 0716264618 au 0756021311
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…