WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo mwanza jiji nyamagana nahitaji dar es salaam jiji au kibaha mji,idara sekondari 0756021311 au 0716264618
 
Kuna mwalimu yuko TUKUYU MJINI idara ya sekondari,anahitaji kubadilishana na mwalimu anayefundisha MBOZI,sharti awe sehemu nzuri... mawasiliano-0756489263.
 
Njoo handeni Tanga nije
Dar manispaa yoyote
mkuranga
Kbaha
Idara sec
0786475050
0715475050
 
ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara (m) idara ya sekondari aje tanga wilaya ya kilindi kama upo tayari nicheki 0786043373
 
Jaman nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae.mie nipo tunduru-ruvuma.shule inaitwa mgomba sec.ipo tunduru mjini mie nataka niende mufindi.nipo idara ya sekondari.tafadhali kama upo tayri ni pm.narudia kusema shule ipo mjini hivyo haijalishi kama upo mufindi vijijin ambako maji na umeme hakuna nipo tyr kuja huko.
 
Mwl AUGUSTINO wa Dodoma idara msingi anatafuta mwl mwenzake wa kunadilishana nae kutoka eidha MOSHI;ARUSHA au TANGA popote
No: 0767381520
 
Mwl AUGUSTINO wa Dodoma idara msingi anatafuta mwl mwenzake wa kunadilishana nae kutoka eidha MOSHI;ARUSHA au TANGA popote
No: 0767381520
 
Mwalimu anayetaka kuhamia Meatu Simiyu idara ya Sekondari yupo wa kubadilishana nae. Tuwasiliane. Tuwasiliane kwa namba hii 0716650900
 
Nina mke wangu yuko Moro ila nataka aje dar kama kuna wa dar nafasi hiyo
 
njoo mwanza misungwi mimi nije arusha mjini au moshi nitafte 0752139170
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…