1. Nina mdogo wangu yuko Simiyu ni mwl wa msingi na angetaka kuhamia kanda ya Kaskazini kama
2. Na nina mdogo wangu mwingine ni mwl. wa secondari wilaya ya Rombo na angetaka kuhamia Arusha au Manyara
Mwenye kusaidia ani PM.
Naitwa Daniel Mwakisale natafuta wa kubadilishana nae kituo nipo mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Same idara ya sekondari! natafuta aliye mbeya jiji tubadilishane! 0782770679, 0752206626
p.o.box 61 ,Same.