WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu Idara ya msingi halmashauri ya Hai anatafuta Mwalimu wa kubadilishana kutoka manispaa ya morogoro piga namba 0767287256
 
Anaetaka kuja handeni Tanga nije
mkuranga
Dar manispaa yyte
Kbaha
idara sec nicheck kwa
0786475050
0715475050
 
Idara secondary natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Yeye aje Kilimanjaro na mimi niende Kibaha Pwani au Chalinze. Tuwasiliane kwa 0757170397
 
Ni kweli wapo wengi. Hata mimi niloshakutana na mmoja. Ila hizo hela wanazozichukua zitawatokea puani siku moja.
 
Njoo njombe nije rungwe,mbeya jiji,mbozi,mbeya vjijin,kyela,busokelo,idara ni secondary 0719432283
 
njoo KAHAMA(KAGONGWA) wife aje MBEYA JIJI,RUNGWE,KYELA,MBOZI,BUSOKELO,idara secondary 0719432283
 
njoo singida mjini idara sekondari. wife asogee dodoma au morogoro.. mizigo utasafirishiwa... nipm tuyajenge
 
njoo tabora _uyui ni mjini nije kagera wilaya za
karagwe,
kyeewa,
na bukoba(m).
simu:0786 279 760
idara msingi
 

Attachments

  • Picture1_3.png
    37.4 KB · Views: 197
njoo halmashaur ya kahama mjin nije tanga,pwani,dar.idara msingi
 
1. Nina mdogo wangu yuko Simiyu ni mwl wa msingi na angetaka kuhamia kanda ya Kaskazini kama
2. Na nina mdogo wangu mwingine ni mwl. wa secondari wilaya ya Rombo na angetaka kuhamia Arusha au Manyara
Mwenye kusaidia ani PM.

2pia contact
 
Mwl RODNEY idara sec yupo TANGA-LUSHOTO anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MORO;PWANI au DODOMA popote
no 0752800630
 
Njoo njombe nije rungwe,mbeya jiji,mbozi,mbeya vjijin,kyela,busokelo,idara ni secondary 0719432283

Njoo Kyela mjini mkuu, Njombe upo sehemu gani? Nimepiga simu yako haiko hewani,
Call 0714010511
 
Mimi ni Adam Shija, mwalum idara ya sekondari. Natafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje BARIADI mimi niende MAGU, MWANZA. Tuwasiliane kwa namba: 0767835047
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…