YOUNGZIGUA
Member
- Jan 27, 2015
- 36
- 3
njoo geita! 0768087614
mimi mwl. Wa halmashauri ya wilaya ya mvomero mkoani morogoro, naomba/nahitaji mwl. Yeyote wa idara ya sekondari ambaye anafanya kazi arusha dc au arusha manispaa, anayetaka/ anayependa kuhamia mvomero anitafute pande hizi au kwny fb: Bigbarack johkiv ili tubadilishane, nitashukuru kwa ushirikiano wenu.