bado natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yeye aje Same mimi niende kati ya iringa manispaa,Njombe mjini, mbeya jiji, songea manispaa! idara ya sekondari! aliyetayari tuwasiliane kwa 0752206626, 0782770679
Jamani bado natafuta wa kubadishana nae kituo cha kazi idara sec aje tabora manispaa Mimi nije Tanga jiji,korogwe au muheza.0785057069,0765083251 please!!,