Mimi nipo Dodoma (Chamwino) nataka wakubadilishana nae kutoka Moro mjin.
 
mwalimu awa wa sekondari anaetokea pwani, dar, morogoro, na tanga, mimi nipo kilimanjaro wilaya ya rombo alie tayari tuwasiliane 0714829862
 
Niko HAI-KILIMANJARO natafuta mtumishi wa kubadilishana. nataka kuhamia MWANZA JIJI au MANISPAA YA ILEMELA AU NYAMAGANA
 
Kuna ndugu yangu yupo singida iramba anataka kuja kwetu songea.
 
dah walimu tulieni basi kwenye vituo vyenu vya kazi. h
 
Usihofu utapata tu. mungu atakukutanisha na wanaousika, ata mimi natafuta nataka kuhama HAI kwenda mwanza mjini,
 
HahahaAa! Nkafurahiaaaaa, kumbe upo nilipo lol
Mkajua ndo nimepata
 

Habr ya tarime murra?
huko ni hom,njoo singida katikat ya nchi nije hom,wazaz wangu wananihitag saana tata,wanazeeka.
0757966585.
 
je wewe ni mwalimu uko dar unataka kuja jiji la mwanza, tafadhali tuwasiliana
leo hii nani asiyepatka dar ?? licha ya madhira/ karaha zake, kama huamini iulize hata serikali yako ya magamba imegoma kibisaaa hapa kuhama dar kwa zaid ya miaka 40 kwani mkoa wa dodoma nao ulituma maombi kama ya kwako kwa mkoa wa dar es salaam , etii oohhh... serikali na wizara zake zote naomba tubadilishaneni mimi dodoma nije dar nayie muje huku dodoma , thubutu yako nani kahamia dom mpaka leo , imebaki ntantarira mpomporira tu za kujaza hansard kuwa iko mbioni kuhamia mako mapya kumbe danganya toto tu , pole xana mwana sangara. endelea kula mapanki huko huko.
 
jaman aye itaji kwenda shinyanga kishapu,nafasi ni wazi kabisa ila atoke moshi au arusha,
 
kwa mwalimu anae itaji kutoka Arusha Au kilimanjaro,kwenda sehemu zifuatazo :: Shinyanga kishapu,mwanza mjini,singida iramba, Mara Tarime,dodoma kondoa,morogoro mjini,lindi,awe mwlimu wa sekondari au primary,anitafute kwa 0712872378
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…