Njoo kigoma me nije mikoa ya morogoro,iringa,songea,mbeya,pwani,mtwara,songea,singida
ndg yangu baki hukohuko moro town mji wenye bahari ya mindu hewa safi kutoka milima ya uruguru, mabo yetu pale chipkizi, mengine pale nyota4, au ze club uje huku kwenye joto, vumbi, mabomu ya mbagara hayakuisha alafu unapajua dondwe nayo ni temeke nauli kama 5,000 ukija mjini , ushauli hamia kinore,matombo , ni afadhali ukawa mkulima kiliko kuja huku
nataka nrudi nyumban kibondo kulea familia kasulu mbali