WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Acha madeko wewe!!
Kama hutaki kukaa huko Ileje, acha kazi.
 
JAMANI NDUGU YETU ANATAFUTA MTU KUTOKA MWANZA, KAGERA AU DODOMA. Aje RUVUMA.
0765031996 au0756231236.
 
JAMANI NDUGU YENU KTK UTUMISHI ANATAFUTA mwl WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA
TANGA,KILIMANJARO AU MOROGORO aje SINGIDA.
0756806493 au 0756231236.
 
Mwalimu wa sekondari aliye tayari kufanya kazi kigoma wilaya ya kibondo, tuwasiliane hasa kutoka maeneo ya dodoma, morogoro na dar. 0653757381
 
Mwl. (sekondari) niko tunduru, kwa yeyote aliyetayari kuja tunduru. 0779688362/0787507351.
 

Nisaidie mkuu, iko hivi, mimi ndye mkubwa katika familia yetu na kiukwel ndye ninayetegemewa. Wazazi wang umri umewatupa hivyo nahitaji niwe karib nao kwa huduma za kiafya. Mfano naambiwa mzazi wangu mgonjwa nahitaji kusafiri kutoka huku kitu ambacho kinanicost fedha nying na muda pia na kaz yetu yenyewe hii, kiukwel naish kwa strees kabisa. NAOMBA MSAADA WAKO MKUU.
 
Nataka nihamie chato nipp ,MEATU MJINI nakufanyia mpango unapangwa sehemu nzur
 
Mm ni mwlimu wa secondar nipo wilayani MEATU MJINI natka kuhamia chato aliye tayar nitumie sms 0765038511 nakufanyia mpango unapelekwa mjini
 
Kuna ndugu yangu yuko TANGA(ELIMU MSINGI) sijui wilaya gani ila anataka aende RUVUMA, MBEYA au PWANI. Aliyeko tayari aniPM walimu wangu. Nitawapatia mawasiliano yake.
 
Mi nipo manispaa ya morogoro nataka kwenda kasulu kigoma
 
nipo singida (makiungu) nataka kuhamia arusha mjini
 
Kuna mwl wa elimu msingi anaitaji kubadili kituo cha kazi kutoka shinyanga kishapu kwenda arusha au kilimanjaro au mikoa ya karibu na arusha,kwa yeyote anaeitaji kwenda shinyanyanga tuwasiliane kwa no.0712 872378
 
Mwalimu wa Sekondari wa Dodoma mjini aje Singida mjini.0763257500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…