Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Nauliza aliyefanya bachelor in public administration, je anaweza akafundisha, kwa mtaala wa elimu ya Tanzania ???