Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,210
Mwalimu idara ya msingi, yupo Tanga Anatafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Iringa au Mbeya.
ana sh. Ngapi nimtafutie mtu wa kubadilishana toka Iringa ndani ya siku 3 tu.
acha kutumia matatizo ya watu kujinufaisha ndugu... Hii ni dunia.ana sh. Ngapi nimtafutie mtu wa kubadilishana toka iringa ndani ya siku 3 tu.
Kama kweli ulikuwa serious why PM zangu tangu mwezi wapili huzijibu.ana sh. Ngapi nimtafutie mtu wa kubadilishana toka Iringa ndani ya siku 3 tu.
Niko mpwapwa idara sekondari nataka kwenda morogoro manispaa aliye tayari kutoka moro ani pm