attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni