WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kilosa morogoro mm nije rungwe idara ya msingi mawasiliano 0752994777
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Anayetaka kuja muheza tanga mm niende morogoro mjini,vijjin,mvomero gairo au iringa manispaa idara sec
 
Nami natafuta wa kubadilishana naye yeye aje Lindi manispaa, mimi nataka anaye tokea pwani au dar ingia pm kwa kuelekezana zaidi shule ni nzuri sana sema familia yangu iko dar
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
DAR
TANGA
ARUSHA
DODOMA
MOROGORO
KILIMANJARO

Nenda SINGIDA(Ikungi)
Aje PWANI
DAR
TANGA
ARUSHA
MOROGORO
DODOMA
ARUSHA
KILIMANJARO
# 0653 351265
# 0753 629314
# 0785 077035
Idara ya msingi
 
Njoo Ushetu Kahama nije Dodoma mjini idara sekondari 0788957262
 
DAAH WATU WA SINGIDA TU HAWAPATAKI KWAO PALIVO KUBAYA PAKAMEE KINOMA JE SISI WAGENI??
Nshatafuta mnoo wa kubadilishana..
Lakini sipati!!
 
Back
Top Bottom