WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo sengerema mimi nije handeni tanga. Idara sekondari.ths year or next early Mawasiliano yangu ni 0655050570.serious. posted 16.10.2015.time 12 .03pm.
 
Njoo ARUSHA MONDULI ENGUTOTO sec school me nije mbozi mbeya nipigie 0767900103 na 0757354380
 
idara msingi,

wewe kama upo wilaya hizi na unataka kuja tabora au kusogea kanda ya ziwa na maeneo jirani muda umefika. mpwapwa, kongwa, chamwino namtumbo, songea au mbinga.

mawasiliano ni cm 0685332001:
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo IRINGA (w), mimi nije BAGAMOYO Pwani. Idara sekondari
0655~769496
0762~769496
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Mwl CHAMI idara msingi yupo TANGA-PANGANI anatafuta mwalimu mwenzake wakubadilishana nae kutoka MOSHI(V) au MJINI.
NO:0753997869 Au 0715867945
 
Salaam!Njoo Ushetu Kahama,nije Iringa wilaya yoyote,Dodoma,Singida,Morogoro na Njombe. 0762226355..
Idara ya Sekondari.
 
Njoo Bukoba -DC nije
Ilemela
Nyamagana
Tanga jiji
Kilimanjaro (Moshi mjini)
au
Bagamoyo ...idara sec
tuwasiliane 0785373410
 
natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi,yeye aje serengeti dc mimi niende kilombero dc idara sekondari,mawasiliano 0782001274 /0786736759
 
Dogo yuko serengeti anataka kwenda Ilemela,Sengerema au Nyamagana idara ya msingi alotayali aniPM nimuunganishe jamaa yuko tayari hata kugharamia usafiri pindi unahama
 
Mwl MUHIBU idara sec KATAVI-MPANDA anatafuta mwl mwenzake wakubadirishana nae kutoka ILALA , TEMEKE , KINONDONI , KISARAWE au MKURANGA.
NO:0714905633 AU 0762943330
 
Back
Top Bottom