Eze arsenal
Senior Member
- Jul 1, 2015
- 103
- 4
0763290593Njoo kasulu mjini nije tanga. Morogoro. Bagamoyo, pwani, kilimanjaro. Idara sekondary
watu hawataki kigoma sijui kwanini, mim pia nipo kasulu ila sijapata mtu wala sijaona mtu yeyoteNjoo kasulu nije mikoa ya kaskazni wilaya yoyote.
Arusha
Kilimanjro
Manyara
Niko idara ya msingi 0753045623