WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kasulu nije mikoa ya kaskazni wilaya yoyote.
Arusha
Kilimanjro
Manyara
Niko idara ya msingi 0753045623
 
Njoo sengerema nije singida mjini idara msingi namba 0685098194 au 0788351008
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
njoo arusha na mm Nije sumawanga, rukwa , au morogoro. idara sec. 0755204636
 
njoo arusha na mm nije katavi, sumbawanga au mbeya. idara sec. 0755204636
 
njoo arusha na mm nije mbeya, rukwa au sumbawanga. idara sec. 0755204636
 
Back
Top Bottom