Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha, chalinze, mlandizi, bagamoyo or dar es salaam idr mcngi 0764910615.
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondari.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Mwl Hidaya Kazumari yupo Pwani wilaya ya Mafia anatafuta mtu wa kubadlishana kutoka Urambo Tabora:
NJoo Pwani- Mafia Nije Urambo Tabora.
0783 701 440
 
Niko arusha idara sekondari natafuta wa kubadilishana naye aje Arusha mi niende kagera wilaya yoyote. Mawasiliano 0786536433.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…