Njoo Mwanza nije
Morogoro manispaa
Mkulanga
Dar wilaya yyte
Chalinze
Dodoma manispaa
Tabora manispaa na
Iringa manispaa
Idara msingi
0755084367
0654360550
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondari.
Njoo nachingwea lindi mimi nije moja wapo sehem zifuatazo mbeya vijijin au jiji, mbozi, mbarali, rungwe, tunduma, iringa au njombe kwa idara ya msingi 0718294989 au 0786211063