WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anatafuta mtu wa kubadilishana nae, njoo chunja (Babati, Iringa mji, Songea mjini,) idara ni msingi, mawasiliano ni 0765185975
 
Anatafuta mtu wa kubadilishana nae, njoo Babati mjini aje Morogoro mjini, idara ni secondary, mawasiliano ni 0765185975
 
Njoo mtwara mjini nije Tanga, kilimajaro au pwani (kati ya kibaha na chalinze) idara sec 0652112026
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Njoo Lushoto bumbuli, mimi nije ulipo idara sec, nje ya mkoa waTanga, wilaya yoyote uliyo nicheki tu badilishane0622536075

Ngodaz, lushoto na bumbuli ni wilaya mbili tofauti ww uko wilaya gani please!!!!
 
Kilimo hawabadilishani jamani?au ni ualimu pekee yake.

Andika tangazo uko wapi na unataka kuhamia wapi. Wanaotumia mtandao huu ni watu wengi zaidi ya walimu hvyo unaweza kupata bahati katika idara hyo ya kilimo.
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Back
Top Bottom