martinnyoni
Member
- Oct 21, 2015
- 55
- 1
Njoo Lushoto bumbuli, mimi nije ulipo idara sec, nje ya mkoa waTanga, wilaya yoyote uliyo nicheki tu badilishane0622536075
Kilimo hawabadilishani jamani?au ni ualimu pekee yake.
Katika mbadilishano huu Wa vituo kuna mliofanikiwa?
Mm ni mmojawapo nimehama mwez7,2015. Nilimpata kupitia jukwaa hili hili na tukafanikiwa sote kuhama. Usikate tamaa
Ngodaz, lushoto na bumbuli ni wilaya mbili tofauti ww uko wilaya gani please!!!!
Mm ni mmojawapo nimehama mwez7,2015. Nilimpata kupitia jukwaa hili hili na tukafanikiwa sote kuhama. Usikate tamaa