Habari leo siweki post kubadilishana Bali naombeni ushauri pia iwe funzo hata kwa wewe unaetafuta wa kubadilishana kituo cha kaz jamaa linitumia sms kwamba aliona Tangazo of langu humu jamii forum kwamba nipo tayar kubadilishana vituo nikamwambia ndyo, basi akanifowadia taarifa zake nami nikamtumia pia zake, tukazidi wasiliana na kupeana updates kila mmoja amefikia wapi but mm nikajua hata mwenzangu anachangamkia, ikafikia hatua mm nimekamilisha kusainiwa, lkn yy akasema bdo, bdo bdo bdo, hadi sasa jibu Lake ni bdo, hapo nifanyje, inawezekana nikapeleka barua yangu kwa halmashauri yke kisha Waka pokea na wakaituma tamisemi?