Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0765348753......0716111942...0676561350...0759903153..namba za MATAPELI HIZI KAA NAZO MBALI KAMA UKOMA
Habari leo siweki post kubadilishana Bali naombeni ushauri pia iwe funzo hata kwa wewe unaetafuta wa kubadilishana kituo cha kaz jamaa linitumia sms kwamba aliona Tangazo of langu humu jamii forum kwamba nipo tayar kubadilishana vituo nikamwambia ndyo, basi akanifowadia taarifa zake nami nikamtumia pia zake, tukazidi wasiliana na kupeana updates kila mmoja amefikia wapi but mm nikajua hata mwenzangu anachangamkia, ikafikia hatua mm nimekamilisha kusainiwa, lkn yy akasema bdo, bdo bdo bdo, hadi sasa jibu Lake ni bdo, hapo nifanyje, inawezekana nikapeleka barua yangu kwa halmashauri yke kisha Waka pokea na wakaituma tamisemi?
Vp walisha kuingiza mjini kk?
mwisho wa kutuma maombi ya uhamisho wa mwez wa 12 ni lin wadau?