WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo wilaya ya handeni mkoa was TANGA nine
Kibaha
Bagamoyo
Mkuranga
Kisarawe
Temeke
Ilala
Kinondoni
Idara sekondary
0786475050
0715475050
 
idara ya sec Njoo biharamulo mjini nije kibaha,pwani,bagamoyo,mlandizi,temeke ,kinondoni,mkuranga, na arusha,longido,himo,hai,bunda,babati,na tanga wilaya yeyote number0764841249
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Same,
Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo, Siha.
0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
idara ya sec Njoo biharamulo mjini nije kibaha,pwani,bagamoyo,mlandizi,temeke ,kinondoni,mkuranga, na arusha,longido,himo,hai,bunda,babati,na tanga wilaya yeyote number0764841249
 
Habari leo siweki post kubadilishana Bali naombeni ushauri pia iwe funzo hata kwa wewe unaetafuta wa kubadilishana kituo cha kaz jamaa linitumia sms kwamba aliona Tangazo of langu humu jamii forum kwamba nipo tayar kubadilishana vituo nikamwambia ndyo, basi akanifowadia taarifa zake nami nikamtumia pia zake, tukazidi wasiliana na kupeana updates kila mmoja amefikia wapi but mm nikajua hata mwenzangu anachangamkia, ikafikia hatua mm nimekamilisha kusainiwa, lkn yy akasema bdo, bdo bdo bdo, hadi sasa jibu Lake ni bdo, hapo nifanyje, inawezekana nikapeleka barua yangu kwa halmashauri yke kisha Waka pokea na wakaituma tamisemi?
 
Kwa mwenye kutaka kuja mbogwe kwa sengerema au wilaya yoyote mkoa wa mwanza 2ongee 0785749953
 
Habari leo siweki post kubadilishana Bali naombeni ushauri pia iwe funzo hata kwa wewe unaetafuta wa kubadilishana kituo cha kaz jamaa linitumia sms kwamba aliona Tangazo of langu humu jamii forum kwamba nipo tayar kubadilishana vituo nikamwambia ndyo, basi akanifowadia taarifa zake nami nikamtumia pia zake, tukazidi wasiliana na kupeana updates kila mmoja amefikia wapi but mm nikajua hata mwenzangu anachangamkia, ikafikia hatua mm nimekamilisha kusainiwa, lkn yy akasema bdo, bdo bdo bdo, hadi sasa jibu Lake ni bdo, hapo nifanyje, inawezekana nikapeleka barua yangu kwa halmashauri yke kisha Waka pokea na wakaituma tamisemi?

Hawawezi kukubali... Hapo kama haeleweki ni kumpotezea tu... Mimi mwenyewe ilinikuta hiyo unayosema. Tena alikuwa ananipa moyo sana kumbe alikuwa hafanyi mchakato wowote..... Hiyo ipotezee... Bora utafute mwingine au namna nyingine....
 
Back
Top Bottom