Njoo songea manispaaa...idara ya sec...nije dsm au kibaha nicheki kwenye 0714482484...zawadi ya tsh...laki tatu na zaidi itatolewa pia kwa atakae kuwa tayari
Natafuta wa kubadilishana nae.....aje SONGEA MANISPAA.... Hawe anatoka dsm au kibaha.....zawadi pia itatolewa kwa atakae patikana...idara ya sec....check me on 0714482484
Mwl Happiness bwele wa shule ya msingi kimiza wilaya ya karagwe..mkoa wa bukoba anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Songea,Morogoro,kibaha na dsm...wasiliana nae kwa no...0714482484
Kwa mtu aliye tayari kuja Maswa mjini mkoa wa Simiyu, mimi nije Mtwara mjini au vijijini idara Secondary anifind kwa 0659571785 au 0685678982. Aliye tayari ataachiwa vitu vyote nilivyonavyo huku.
ACHA KUKATISHA WATU TAMAA WEE kijana.......kwani moro ni peponi adi watu wasihame ?....jamani TUSIKATE TAMAA tutafaniwa tuuu MUNGU MWEMA...mwomba Mungu HAKOSI FUNGU LAKE